pmbet

Man United hawatanii kwa Luis Enrique

Sisti Herman

March 22, 2026
Share :

 

Luis Enrique yupo juu kwenye orodha ya Makocha wanaoangaliwa zaidi na Manchester United kuchukua nafasi ya kuwa kocha mkuu mpya wa kudumu.

Hata hivyo, kuna shaka kwamba yuko tayari kuondoka PSG - taji la pili la Ligi ya Mabingwa linaweza kubadilisha hilo.

Hatma ya Michael Carrick haijajulikana hadi sasa, amewagawa wadau wa timu hiyo kutokana na kiwango cha timu yake tangu achukue nafasi ya kocha wa muda.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet