Man United inaangalia uwezekano wa kumsajili Marc Guehi wa Crystal Palace
Eric Buyanza
May 23, 2024
Share :
Manchester United inatafakari uwezekano wa kumsajili mlinzi wa Crystal Palace na Uingereza Marc Guehi.
United huenda wakachukua uamuzi huo kama watashindwa kufikia makubaliano na Everton kwa ajili ya kumnunua beki wa kati Jarrad Branthwaite.