pmbet

Man United inafikiria kumsajili Ivan Provedel ili apambane na Onana

Eric Buyanza

April 30, 2024
Share :

Manchester United wanaripotiwa kufikiria kumsajili golikipa mwingine atakayekuja kuchuana na Andre Onana.

Inaelezwa kuwa macho yote ya Man United kwa sasa yanamuangalia kwa ukaribu golikipa Ivan Provedel wa Lazio na huenda wakahitaji huduma yake msimu ujao.

Golikipa huyo ana clean sheet 13 katika mechi 38 za michuano yote msimu huu, ingawa hakucheza mechi sita za mwisho za Serie A kutokana na kuugua kifundo cha mguu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet