Man United kumuongezea Bruno Fernandes mshahara
Eric Buyanza
May 18, 2024
Share :
Manchester United huenda ikalazimika kumpa kiungo wa kati wa Ureno Bruno Fernandes, nyongeza ya mshahara ikiwa wanataka kuendelea kumbakisha Old Trafford.
Kwasasa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 29 analipwa pauni 240,000 kwa wiki.