pmbet

Man United kupitisha fagio, kuwafuta kazi wafanyakazi 250

Eric Buyanza

July 4, 2024
Share :

Manchester United itapunguza kazi watumishi wake 250 kama sehemu ya kupunguza gharama na kufutilia mbali baadhi ya shughuli "Zisizo muhimu".
 

Vyanzo vya klabu hiyo vinasema mabadiliko makubwa ya kifedha yanahitajika ili kudhibiti kupanda kwa gharama za mwaka hadi mwaka.
 

Mtendaji mkuu wa muda Jean-Claude Blanc aliwasilisha habari za kupunguzwa kwa wafanyakazi katika kikao kilichoudhuriwa wafanyakazi takriban 800.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet