Man United miongoni mwa timu zinazowinda saini ya Edson
Eric Buyanza
February 21, 2024
Share :
TETESI ZA SOKA
Soka Manchester United na Liverpool ni miongoni mwa timu nyingi za Premier League zinazomtaka kiungo wa kati wa Atalanta, Mbrazil Ederson.
Taarifa hizo zinasema Arsenal, Newcastle na Tottenham pia zinamfuatilia Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 24.