pmbet

Man United na Arsenal vitani kumgombea Zirkzee

Eric Buyanza

March 6, 2024
Share :

Jumapili ya juzi Manchester United ilituma maskauti kumtazama mshambuliaji wa Bologna Mholanzi Joshua Zirkzee katika mchezo wao dhidi ya Atalanta.
 

Wakati Manchester wakiendelea kumfuatilia, Arsenal nao wameonesha nia ya kumsajili Zirkzee, ambaye anaweza kuwagharimu kama Euro milioni 80.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet