Man United wako tayari kutoa Euro milioni 60 kwa ajili ya Bastoni
Eric Buyanza
April 24, 2024
Share :
Manchester United wanaripotiwa kuweka dau kubwa la kumnunua beki wa Inter Milan Alessandro Bastoni kabla ya dirisha la usajili la majira ya kiangazi.
Tetesi zinasema Man United wako tayari kutoa Euro milioni 60 kwa mchezaji huyo, hata hivyo Inter Milan ikiwa bado hawajaongea lolote kuhusu ofa hiyo.