Man United wamgeukia kinda wa Braga
Sisti Herman
April 3, 2025
Share :
Manchester United wanavutiwa na winga wa Braga mwenye umri wa miaka 19 Roger baada ya kumkosa Geovany Quenda ambaye ieripotiwa kuwa Chelsea wamenasa saini yake.
Kwenye kuwania saini ya kinda huyo, Man United wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Aston Villa, Brighton, Brentford, Fulham, Manchester City na Newcastle United.