pmbet

Man United wamsajili kinda wa miaka 11 kutoka Kenya

Sisti Herman

April 21, 2025
Share :

 

Klabu ya Manchester United ya Uingereza imekamilisha usajili wa kinda Maker Majok mwenye umri wa miaka 11, raia wa Kenya aliyezaliwa na wazazi wenye asili ya Sudan Kusini rasmi na kujiunga na timu ya vijana ya Manchester United ya Vijana.

Safari yake ya kuvutia kwa klabu hiyo iliwezekana kupitia ushirikiano kati wasaka vipaji wa klabu ya Manchester United na Kituo cha michezo cha Coach Hene Sports Club Academy inayosaka na kuviendeleza vipaji yenye makao yake Mashariki mwa Manchester.

Kwa mujibu wa timu ya ufundi inayohusika na usakaji wa vipaji ya Academy ya Man United kwa kushirikiana na Coach Hene Academy huu ni Ubora wa kinda huyo kiufundi;

- Bidii na nishati kubwa mazoezini
- Mbunifu akiwa na mpira
- Ubora kiuzuiaji
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet