Man United wana imani dau la pauni la milioni 60-70 litatosha kumsajili Branthwaite
Eric Buyanza
April 26, 2024
Share :
Manchester United wana imani dau la pauni milioni 60 mpaka 70 litatosha kuinasa saini ya beki wa Everton, Jarrad Branthwaite.
Inaaminika kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anaweza kuuzwa na Everton kabla ya Juni 30 mwaka huu.