Man United wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Sevilla Soussef En-Nesyri
Eric Buyanza
December 23, 2023
Share :
Manchester United wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Sevilla na Morocco Youssef En-Nesyri mwenye miaka 26.
Man U wamefikia hivyo baada kumkosa Serhou Guirass mchezaji wa kimataifa.
Guinea na klabu ya Ujerumani ya Stuttgart, ambaye nia yake ni kuhamia Tottenham.
Serhou Guirassy na umri wa miaka 27.
#TetesiZaUsajili