Man United wazindua jezi mpya kwaajili ya msimu ujao wa 2026/27
Sisti Herman
May 14, 2026
Share :

Klabu ya Manchester United imezindua rasmi jezi zao mpya za mechi za nyumbani kwaajili ya msimu ujao wa mashindano 2026/27.
Jezi hizo za rangi nyekundu zimechapishwa kwenye ukurasa wao rasmi wa klabu na tayari zipo sokoni.





