pmbet

Man United yaandika rekodi mbaya UEFA

Sisti Herman

October 22, 2026
Share :

 

Manchester United imekuwa timu ya kwanza katika historia kufungwa ndani ya dakika mbili za mwanzo katika michezo miwili mfululizo ya mashindano makubwa ya Ulaya.

Timu hiyo iliruhusu bao katika dakika ya kwanza ilipokutana na Atlético Madrid, kabla ya Nico Paz kuifungia Como bao la kuongoza dakika ya pili katika mchezo mwingine wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet