Man United yafukuzia saini ya Jeremy Monga
Sisti Herman
May 21, 2026
Share :

Manchester United ipo kwenye mazungumzo na Leicester kuhusu uwezekano wa kumnunua Jeremy Monga mwenye umri wa miaka 16.
Vilabu vinavyovutiwa vimeona fursa baada ya Leicester kushuka daraja, lakini bei ya pauni milioni 15 imetajwa.





