pmbet

Man United yamtimua daktari kisa Majeraha mengi

Sisti Herman

March 12, 2025
Share :

 

Baada ya kuandamwa na wimbi la majeruhi huku wengi wakiwa wale wanaoumia mara kwa mara, klabu ya Manchester United wamefikia hatua ya kuachana na Mkuu wa idara ya Afya na daktari mkuu wa timu hiyo Dr Gary O’Driscoll.

Hadi sasa klabu hiyo ina wachezaji 10 wa kikosi cha kwanza ambao wapo nje ya uwanja kwa matatizo ya Majeraha.

Hawa ni wachezaji wa Man United waliopo nje ya uwanja kwasababu ya majeraha;

❌ Lisandro Martinez
❌ Amad Diallo
❌ Altay Bayindir
❌ Jonny Evans
❌ Leny Yoro
❌ Harry Maguire
❌ Luke Shaw
❌ Mason Mount
❌ Kobbie Mainoo
❌ Manuel Ugarte

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet