pmbet

Man United yawazuia Šeško na Mbeumo kujiunga na timu zao za Taifa

Sisti Herman

March 23, 2026
Share :

 

Washambuliaji wa Manchester United, Benjamin Šeško na Bryan Mbeumo wote watakuwa nje ya timu zao za Taifa kutokana na kuuguza majeraha.

Manchester United imethibitisha kuwa Šeško hatajiunga na timu ya taifa ya Slovenia, Mbeumo hatajiunga na Cameroon ili kudhibiti matatizo yao ya hivi majuzi kabla ya miezi miwili ya mwisho ya msimu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet