pmbet

Man Utd na Arsenal kwenye vita ya kumsajili nyota wa Bologna Zirkzee!

Eric Buyanza

February 19, 2024
Share :

Manchester United na Arsenal huenda wakaingia kwenye vita vya kutaka kumsajili Joshua Zirkzee msimu huu wa joto.
 

Wakati Man Utd ikitamani kumnyakua fowadi huyo wa Bologna ambaye amefunga mabao tisa katika Ligi kuu ya Italia msimu huu, Arsenal nayo imekuwa ikionyesha nia ya kumnunua Zirkzee mwenye umri wa miaka 22, ambaye aliwasili ‘Serie A’ kutoka Bayern msimu uliopita.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet