Klabu ya Manchester United imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wao wa timu ya wanawake Marc Skinner ambaye amewasaidia kutwaa ubingwa kombe la FA.