Man Utd wana matarajio ya kuingiza pauni milioni 100 kwa Sancho na Greenwood
Eric Buyanza
May 6, 2024
Share :
Manchester United wana matarajio makubwa ya kupata pauni milioni 100 kwa kuwauza wachezaji wake wawili Jadon Sancho na Mason Greenwood kwenye drisha kubwa la usajili.
Wawili hao kwa sasa wako kwa mkopo, Borussia Dortmund na Getafe.