pmbet

Man Utd watuma Ofa nzito kwa Xavi Simons

Sisti Herman

July 23, 2024
Share :

Klabu ya Manchester United ipo kwenye hatua za awali za mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uholanzi na klabu ya PSG Xavi Simons kwaajili ya kumsajili kuwa mchezaji wao.

United inasemekana kuwa wametuma ofa nzito ya Euro Milioni 84 (zaidi ya bilioni 200 za Tanzania) kwa mchezaji huyo wa zamani wa timu za vijana za Barcelona ili kunasa saini ya kinda huo wa miaka 21.

Xavi msimu uliopita alikiwasha vilivyo akiwa kwa mkopo RB Leipzg ya ligi kuu Ujerumani ambapo alifunga goli 8 na kupika mengine 11 kwenye michezo 32 ya Bundesliga.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet