pmbet

Manchester City kumsaini Muargentina Echeverri kwa miaka 6

Eric Buyanza

January 1, 2024
Share :

Manchester City wanajiandaa kumsajili Claudio Echeverri kwa mkataba wa miaka sita kutoka River Plate. Kama ilivyoripotiwa na Fabrizio Romano, Muargentina huyo atakaa na River kwa mwaka mwingine kwa mkopo kama sehemu ya makubaliano na mabingwa hao watetezi wa Uropa.
 

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17 amekuwa kwenye rada za timu nyingi za ulaya katika miezi ya hivi karibuni.

Barcelona na Real Madrid wote walikuwa na nia ya kupata huduma yake, lakini City wameshinda mbio za kumpata mchezaji huyo mwenye kipaji cha hali ya juu.

#TetesiZaUsajili

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet