pmbet

Manchester United kulipa zaidi ya Bilioni 40 ili kuachana na Amorim.

Joyce Shedrack

September 18, 2025
Share :

Klabu ya Manchester United italazimika kulipa ada ya pauni milioni 12 ambazo ni zaidi ya Bilioni 40 za kitanzania ili kuvunja mkataba wa kocha wake mkuu Ruben Amorim endapo watataka kuachana naye kabla ya mkataba wake kufikia ukomo.

Man Utd: Ruben Amorim 'raging' at INEOS 'broken promise' over two stars in  'tense' situation
Kocha huyo raia wa Ureno ambaye amekuwa kwenye presha kubwa kutokana na mwenendo wa timu hiyo baada ya kushinda michezo 8 pekee kati ya 31 aliyocheza huku akipoteza michezo 16 aliyosimama kama mkufunzi mkuu.
 

Amorim aliyejiunga na Mashetani wekundu Novemba 2024 bado ana mkataba wa kusalia Old Trafford hadi mwaka 2027.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet