Manchester United wanamtaka Bremer kama mbadala Varane
Eric Buyanza
February 24, 2024
Share :
TETESI ZA SOKA
Manchester United wanamfuatilia beki wa Juventus Gleison Bremer kama mbadala wa Raphael Varane ambaye anaweza kwenda kucheza timu za Saudia kati ya Al Ittihad au Al Nassr.
United wako tayari kutoa kati ya Euro 60-70 milioni kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil.