Manchester United wanaweza kumuuza Greenwood ili kumsajili Bremer
Eric Buyanza
April 18, 2024
Share :
Soka Manchester United wanaweza kumuuza Mason Greenwood kama sehemu ya mpango wa kumsajili beki wa Brazil Gleison Bremer, 27, kutoka Juventus.
Greenwood, mwenye umri wa miaka 22, yuko kwa mkopo kwenye klabu ya Getafe ya Uhispania, alisimamishwa na Man Utd Januari 30 mwaka 2022, kwa tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia.