Manchester United waweka ofa kubwa mezani kuipata huduma ya Ronald Araujo kutoka Barcelona
Eric Buyanza
May 6, 2024
Share :
Barcelona wanaripotiwa kufungua milango kwa klabu zinazotaka huduma ya mchezaji wake Ronald Araujo, huku taarifa zikisema mashetani wekundu wameshafanya jambo.
Taarifa kutoka Football365 zinadodosa kuwa Manchester United tayari wameshaweka 'ofa kubwa mezani' kwa ajili ya beki huyo wa Uhispania.
Araujo amecheza mechi 36 akiwa na 'Wakatalunya' hao msimu huu.