Manchester United yaongoza mbio za kuinasa saini ya Olise
Eric Buyanza
May 3, 2024
Share :
Manchester United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kufukuzia saini ya kiungo wa kati wa Crystal Palace na Ufaransa,Michael Olise, huku wapinzani wao Liverpool na Arsenal wakionesha nia ya kutaka huduma ya mchezaji huyo.
Kwa mujibu wa ripoti ya ESPN, bei ya Olise mwenye umri wa miaka 22 ni takriban pauni milioni 50 mpaka 60.