Manchester United yawaweka wanne hawa kwenye mzani
Eric Buyanza
January 3, 2024
Share :
Manchester United wameandaa orodha ya wachezaji wanne itakayowapatia mshambuliaji mpya mwezi huu wa Januari.
Wachezaji hao ni Mcameroon wa Bayern Munich, Eric Maxim Choupo-Moting, mshambuliaji wa Ujerumani Thomas Muller.
Klabu hiyo pia imewasiliana na RB Leipzig juu ya Timo Werner wa Ujerumani na mshambuliaji wa Stuttgart na Guinea, Serhou Guirassy.