Nyota wa Klabu ya Al Nasrr Na Timu ya Taifa ya Senegal Sadio Mane amefunga Ndoa hii leo na Bi Aicha Tamba huko kwao Keur Massar nchini Senegal.