Mangungu aliwa kichwa mchana kweupeeeee uchaguzi mkuu Simba
Eric Buyanza
November 27, 2026
Share :
Jina la Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu halijapita katika mchujo wa wagombea nafasi ya Uenyekiti ndani ya Simba.

Kamati ya Uchaguzi TFF ambayo ndio inasimamia Uchaguzi Mkuu wa Simba imeliengua jina la Mangungu na kuyaacha majina mengine katika nafasi hiyo.





