Manyama aaga Azam, anukia Al Hilal
Sisti Herman
June 6, 2024
Share :
Mlinzi kiraka wa klabu ya Azam, Mtanzania Edward Manyama ameaga rasmi mashabiki wa klabu hiyo kuendelea kuwatumikia wanalambalamba baada ya misimu miwili.
Manyama ameaga kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii huku akihusishwa kuwa kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan.