Maokoto aliyojichotea Gigy Money kwa Harmonize ni kufuru
Joyce Shedrack
March 25, 2024
Share :
Mwanamuziki na video vixen mkongwe Gigy Money amefunguka kiasi cha fedha alicholipwa na Harmonize baada ya kuwa vixen kwenye wimbo ‘Dharau’ ambao mpaka sasa unafanya vizuri huko mjini YouTube.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.