Maono ya Samia; Kilimo Cha Umwagiliaji
Sisti Herman
December 3, 2024
Share :
Katika Kuendeleza utoshelevu wa chakula na utekezaji wa dhana ya Kilimo Biashara ambapo utoshelevu wa chakula nchini unatarajiwa kufikia 130% ifikapo mwaka 2025.
Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt Samia inawekeza kwenye kilimo cha umwagiliziaji, ambapo inatekeleza miradi mipya yenye ukubwa wa hekta 543,366 yenye thamani ya shilingi trilioni 1.18.
Lengo ni kuhakikisha asilimia 50 ya kilimo nchini kiwe cha umwagiliaji ifikapo 2030”
#MaonoYaSamia