Mapokezi ya timu ya Taifa Sauzi Usipime
Sisti Herman
February 15, 2024
Share :
Kikosi cha timu ya Taifa ya Afrika Kusini Bafana Bafana wamepokelewa kwa heshima baada ya kumalizika kwa mashindano ya AFCON Cote d’Ivoire ambapo wamerudi na medali ya washindi wa tatu na timu yenye nidhamu huku kipa wao Ronwens William akiibuka kipa bora wa mashindano.
Hizi ni baadhi ya picha katika uwanja wa ndege wa kimataifa OR Tambo mashabiki wakiwa na Waziri wa michezo ,Sanaa na Utamaduni Zizi Kodwa akiwa na maofisa wengine kama Panyaza Lesufi