pmbet

MARA EMOVIS: Ng'ombe aliyeuzwa kwa shilingi Bilioni 11 avunja rekodi ya dunia

Eric Buyanza

July 23, 2024
Share :

Ng’ombe aliyewahi kuuzwa kwa bei kubwa zaidi duniani anafahamika kwa jina la ‘MARA EMOVIS’ aliweka rekodi ya dunia baada ya kuuzwa kwa dollar milioni 4 (sawa na shilingi Bilioni 11 za kibongo) kwenye mnada uliofanyika nchini Brazil mwaka 2023.

Sifa za ng’ombe huyo ni ustahimilivu wao katika hali ya hewa, joto, kukabiliana na mazingira ya aina yoyote ile lakini pia kuzaliana kwa wingi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet