pmbet

Maradona alikuwa bora kuliko Messi - Gabrile Batistuta

Eric Buyanza

March 27, 2026
Share :

Mshambuliaji wa zamani wa Argentina, Gabriel Batistuta, amemchagua Diego Maradona kama mchezaji bora kwake kumzidi Messi.

 

Batistuta, ambaye alicheza na Maradona katika timu ya taifa ya Argentina, anasema kuwa Maradona alikuwa na haiba kubwa na uwezo wa kucheza na kuongoza timu kwa njia ambayo Messi hawezi.

 

"Maradona alikuwa na uwezo wa kucheza, kuongoza timu, na kushughulikia waamuzi na wapinzani. Alikuwa na uwezo wa kufanya mambo ya ajabu," Batistuta alisema. Anasema kuwa isingewezekana kwa Messi kumfikia Maradona kwa sababu ya haiba yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet