pmbet

Marioo na Mbosso waendelea kutikisa kwenye kazi zao.

Joyce Shedrack

December 16, 2025
Share :

Wasanii Mbosso na Marioo wameonyesha ni kwa namna gani mashabiki zao wanaendelea kufurahia burudani nzuri kutoka kwao kwa kipindi hiki ambacho wanamuziki wanapitia changamoto upande wa soko lao hapa bongo.

Video ya #OLUWA ya Marioo ndani ya siku moja ikipata mapokezi ya aina yake ikikusanya zaidi ya watazamaji laki sita kupitia mtandao wa YouTube pekee huku #Mbosso show yake Nchini Kenya akipata pia mapokezi Makubwa bila hiyana kutoka kwa Mashabiki zake nchini humo.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet