Martial akataa kwenda Fenerbahce na Marseille
Eric Buyanza
January 11, 2024
Share :
TETESI ZA USAJILI: Mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial amekataa kujiunga na Fenerbahce, Marseille na klabu ya Saudi Pro league.
Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 28 anatarajiwa kusalia Old Trafford hadi mkataba wake utakapokamilika msimu wa joto.