pmbet

"Mashabiki njooni muujaze Uwanja, tunafuzu" Kibu

Sisti Herman

March 1, 2024
Share :

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba Kibu Denis amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi na kuujaza uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa raundi ya 6 na ya mwisho ya hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Jwaneng' Galaxy utakaochezwa saa 1 jioni.

 

“Tunakwenda kucheza mechi kubwa ngumu ambayo tukishinda tunakwenda hatua inayofuata (robo) kwahiyo tunawaomba mashabiki zetu, kama tunavyowaombaga huwa hamtuangushi sisi kama Nguvu Moja tunawaomba tujitokeze kwa wingi kuja kutoa hamasa, kushabikia timu yenu na kutupa nguvu sisi wachezaji tunawategemea sana kama kaulimbiu yetu isemavyo Nguvu Moja” alisema Kibu Denis alipoongea na Simba Tv.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet