pmbet

Mastaa wa Azam FC wakiokuwa stars kuiwahi Singida BS.

Joyce Shedrack

March 30, 2026
Share :

Wachezaji wa klabu ya Azam waliokuwa kwenye majukumu ya Timu ya Taifa Nchini Rwanda wanaripotiwa kurejea Tanzania haraka ili kuwahi maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Singida Black Stars.

Wachezaji hao ni Feisal Salum, Aishi Manula, Zuber Foba, Iddi Nado, Twalib na Lameck Lawi.

Mchezo huo utachezwa Jumatano ya April 1 katika uwanja wa Airtel Stadium saa 10 Jioni.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet