pmbet

"Matokeo yanauma, Poleni sana wanasimba" Ahmed Ally

Sisti Herman

April 10, 2024
Share :

Mara baada ya kutolewa na mashujaa kwa matuta kwenye michuano ya kombe la shirikisho la TFF linalodhaminiwa na CRDB, Meneja wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amewatia moyo Wanasimba wote.

"Poleni wanasimba, ni aina ya matokeo ambayo yanaumiza, yanachanganya, yanavurugana kwasasa akili yetu tuelekeze kwenye ligi kuu" alisema Ahmed Ally kupitia instagram ya timu hiyo

Simba wameondolewa kwenye michuano hiyo maarufu kama FA baada ya sare ya 1-1 na kufungwa kwa matuta 6-5.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet