pmbet

Matola auhitaji Ubingwa Muungano kwa Azam

Sisti Herman

April 26, 2024
Share :

Kuelekea mchezo wa fainali ya kombe la Muungano dhidi klabu ya Azam, kocha Msaidizi wa Simba Suleiman Matola amesema licha kuwaheshimu Azam wanahitaji kushinda ili kutwaa ubingwa wa Muungano na kuwapoza mioyo mashabiki wao kwenye msimu huu mbaya kwao.

“Itakuwa mechi ngumu, Azam ni timu bora lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda. Hii ni fainali na siku zote haiwezi kuwa nyepesi kwahiyo tumejipanga kuwakabili.”- Kocha Msaidizi, Seleman Matola.

Simba na Azam watavaana kesho kwenye dimba la New Aman Complex saa 2 usiku.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet