Maumbile ya Tiffah wa Diamond yazua gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Joyce Shedrack
December 10, 2025
Share :
Mtoto wa staa wa bongofleva Nchini na mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz aliyezaa na mwanamitindo wa Uganda Zari The Boss Lady Latiffa Nassib maarufu Tiffah amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana mabadiliko makubwa ya haraka katika mwili wake akiwa na umri mdogo.

Binti huyo wa pekee wa staa huyo wa bongofleva ambaye anaishi Afrika Kusini pamoja na mama yake amechapisha picha kwenye ukurasa wake wa Instagram huku baada ya watu wakijadili maumbile yake ya mwili.
Tiffah mwenye umri wa miaka miaka 10 ameonekana kuwa na mabadiliko ya mapema ya mwili huku baadhi ya watu wakihoji kuhusu maziwa ya binti hiyo.





