Maximo kocha mpya KMC
Sisti Herman
July 25, 2025
Share :
Aliye kuwa Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Márcio Máximo raia wa Brazil anatarajia kuwasili nchini wikiendi hii kwa ajili ya kuanza kazi rasmi kuwa kocha mkuu wa klabu ya KMC.
Kocha huyo aliyeifundisha pia timu ya Yanga miaka 10 iliyopita anatarajiwa kuja na msaidizi wake mmoja.
KMC wanatarajia kuweka kambi yao ya maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 visiwani Zanzibar.