pmbet

Mayee aiokoa Congo kufungwa na Senegal

Sisti Herman

June 7, 2024
Share :

Goli la pekee la aliyekuwa mshambualiaji wa klabu ya Yanga Fiston Mayele jana liliwakoa timu ya Taifa ya Congo DR kuchezea kichapo mbele ya timu ya Taifa ya Senegal kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia uliowakutanisha miamba hao wawili nchini Senegal.

Senegal walikuwa wa kwanza kufunga kwa goli la nyota Marseille Ismaila Sarr dakika ya 45 bao lililodumu hadi dakika ya 85 baada ya Mayele kuingia na kufunga ndani ya dakika 1 tu.

Senega na Congo wapo kundi B, Senegal wakiwa nafasi ya pili Congo wakiwafuatia huku Sudan wakiongoza msimamo wa kundi hilo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet