pmbet

Mayele ageuka mfalme Pyramids akifunga goli baada ya miezi 4.

Joyce Shedrack

February 25, 2026
Share :

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele amefunga goli baada ya kukaa siku 122 sawa na miezi 4 na siku 2 bila kufunga huku akiweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Pyramids akifikisha magoli 50 ndani ya timu hiyo.

Fiston Mayele tops TotalEnergies CAF Champions League scorers chart

Mshambuliaji huyo wa DR Congo alitupia bao 1 katika ushindi wa kuvutia wa 3-1 wa Pyramids FC ugenini dhidi ya Ghazl El Mahallah usiku wa kumkia leo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet