pmbet

Mayweather amlilia House Girl wake aliyefariki

Sisti Herman

February 23, 2024
Share :

Bondia wa zamani na mwandaaji wa mapambno kutoka nchini Marekani FLoyd Mayweather ameangua kilio katikati ya mahojiano baada ya kumkumbuka msaidizi wake wa kazi za nyumbani aliyefariki mwaka jana akiwa na umri wa miaka 47.

 

Kupitia mahojiano yake na Pivot Mayweather ameeleza kuwa msaidizi wake aliyejulikana kwa jina la Marikit Laurico alikuwa kama rafiki yake kwa sababu alikuwa anajua siri zake nyingi.

 

Marikit Laurico alifariki mwaka jana baada ya kusumbuliwa na matatizo ya Kiafya kwa muda mrefu, na alifanya kazi nyumbani kwa bondia huyo kwa miaka 25.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet