pmbet

Mazembe waiendea Petro Atletico Kanisani

Sisti Herman

March 28, 2024
Share :

Timu ya TP Mazembe ya Congo imefanya ibada maalumu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi yao ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Petro Atletico ya Angola.

Mazembe itaikaribisha Petro katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya CAFCL siku ya Jumamosi, Machi 30, 2024 saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa TP Mazembe.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet