Mbagala - Kongowe inajengwa Flyover
Sisti Herman
June 1, 2026
Share :

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali imejipanga kujenga makutano ya njia (Flyover) Kongowe ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri katika Jiji la Dar es Salaama.
Ameseyasema hayo Mei 20 Bungeni Jijini Dodoma wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.





