pmbet

Mbappe kuvaa jezi namba 9 badala ya 10 anayoipenda

Eric Buyanza

June 4, 2024
Share :

Masaa machache baada ya klabu ya Real Madrid ya Hispania kumtangaza rasmi Kylian Mbappé kama mchezaji wao kwa misimu mitano ijayo, mchezaji huyo huenda akavaa jezi namba 9 baada ya namba zake mbili anazopendelea kutokuwa wazi. Jezi nambari 9 ilibaki bila mtu tangu kuondoka kwa Karim Benzema msimu uliopita. 

Kwasasa Vinicius Jr anavaa jezi namba 7, huku Modric akivaa namba 10 (ambayo ndiyo chaguo kubwa la Mbappe). 

Mbappe anapaswa kuwa na uvumilivu kidogo ili aweze kuipata nambri 10 akifuata nyayo za wachezaji kama Luis Figo, Clarence Seedorf, Ricardo Gallego na Ferenc Puskas.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet